Aunty Ezekiel na Mose Iyobo Wanatarajia Mto...
Hii ni picha ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi katika mtandao wa Instagram ni picha ya muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo. Imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi. Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na […]
Read More..





