-->

Daily Archives: July 25, 2017

Sizai Hadi Ndoa Kwanza- Dr. Sandra wa Siri ...

Post Image

MWAJABU Omary ‘Dr. Sandra’ mwigizaji anayetamba katika tamthilia ya Siri za familia amefunguka kwa kusema kuwa pamoja na kuwa na mchumba wake zaidi ya miaka mitano katika mahusiano lakini hawezi kumzalia watoto hadi akimuoa na kufunga ndoa. “Najua mchumba wangu ananipenda sana na nipo nnaye zaidi ya miaka mitano, lakini sitaki kuzaa nje ya ndoa […]

Read More..

Kesi ya Masogange Yapigwa Kalenda

Post Image

Kesi inayomkabiri mrembo Agnes Gerald maarufu kama Masogange imeahirishwa hadi Agosti 2 mwaka huu, kesi hiyo imepigwa kalenda kutokana na Wakili wa Serikali kuuguliwa na mtoto wake. Masogange ambaye amejizolea umaarufu nchini kutokana na kupamba video za wasanii mbalimbali, anakabiliwa na mashitaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam. Katika kesi […]

Read More..

Linah Ajifungua Mtoto wa Kike

Post Image

Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga maarufu kama Linah amejifungua mtoto wa kike salama katika hospitali ya Marie Stopes, Mwenge jijini Dar es Salaam. Linah amejifungua leo, Jumanne, Julai 25 ikiwa ni muda mfupi baada ya maneno ya mashabiki zake kusambaa kwamba ujauzito wake ni wa muda mrefu tofauti na ilivyo kawaida. Mtu […]

Read More..

Orodha ya vyuo vilivyozuiwa na TCU kudahili...

Post Image

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa orodha ya vyuo vilivyozuiwa kudahili wanafunzi katika mwaka wa masomo 2017/18.  

Read More..

Hili Ndilo Tatizo la Wasanii wa Kike

Post Image

UKIMWULIZA msanii wa kike anakutana na changamoto gani kwenye kazi yake ya sanaa, pamoja na nyingine wengi watakutajia kusumbuliwa kimapenzi. Naomba niweke wazi mapema, kuna tofauti kati ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kutakiwa kutoa rushwa ya ngono. Hapa nazungumzia usumbufu wa rushwa ya ngono. Hiyo imekuwa kero kubwa kwa wasanii wa kike. Utakuta […]

Read More..

Sitakaa Kimya Tena – Madam Flora

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili nchini Madam Flora ambaye aliwahi kuwa mke wa muimbaji injili Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema sasa hivi hata kaa kimya kwa watu wote ambao wanakuwa wakimzushia habari mbalimbali. Madam Flora amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya chombo kimoja cha habari kusambaza habari kuwa ameachana na aliyekuwa mume […]

Read More..

Masanja Mkandamizaji Awatembelea Majeruhi w...

Post Image

Dar es Salaam. Msanii na Mhubiri wa Injili, Masanja Mkandamizaji leo amewatembelea wanafunzi majeruhi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent nchini Marekani. Masanja, aliyepata umaarufu katika kipindi cha televisheni cha ze comedy, ameandika katika ukurasa wake wa instagram akionyesha kumshukuru Mungu kwa kuwaona watoto hao akiwa Marekani. “Mungu amenipa neema ya kwenda kuwaona wadogo […]

Read More..