-->

Daily Archives: July 26, 2017

Wastara Akiri Sadifa Juma Kumharibu Kisaiko...

Post Image

STAA mahiri wa Bongo Muvi, Wastara Juma ameibuka na kusema aliyekuwa mume wake wa tatu ambaye ni Mbunge wa Donge, Sadifa Juma, amemuharibu sana kisaikolojia kiasi kwamba anamchukia kila mwanaume anayemweleza kuwa anampenda. Akizungumza na Za Motomoto News, Wastara alisema kuwa huwa hataki hata kuiona kabisa picha ya mbunge huyo, iwe kwenye gazeti, televisheni au […]

Read More..

Ndugai Abariki Kutimuliwa Wabunge Nane CUF

Post Image

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameikubali barua aliyoandikiwa na Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, kuwatimua uanachama wabunge wake wanane wa viti maalum. Hatua hiyo ya Spika Ndugai inamaanisha kuwa wabunge hao wamepoteza viti vyao Bungeni na chama hichi kitatakiwa kuwateua wanachama wengine kuziba nafasi hizo. Taarifa iliyotolewa […]

Read More..

Chemical afunguka kisa cha kubadili muoneka...

Post Image

Rapa wa kike anayefanya vizuri na ngoma ya ‘Queen Of Dar es salaam’, Chemical ameweka wazi sababu ya kukubali kubadili muonekano kwenye video mpya ya Msami ‘So Fine’ iliyotoka hivi karibuni ni kutaka kujiona yeye mwenyewe kwenye muonekana mpya. Akifanya mahojiano na EATV Website, Chemical amesema baada ya Msami kumuelekeza kwamba anamuhitaji Chemical wa aina […]

Read More..

Shilole ‘Ampuuzia’ Gigy Money

Post Image

Baada ya choko choko za kila mara kutoka kwa Gigy Money kwenda kwa msanii Shilole, hatimaye msanii huyo ameonyesha kuchukulia poa choko choko za video vixen huyo. Siku zilizopita Gigy Money alidai hawezi kufanya muziki na Shilole kwa sababu hamshabikii na hajawahi kupenda muziki wake, pia hivi karibuni alidai Shilole hajui kuongea kingereza vizuri. Kupitia […]

Read More..

Wanafunzi Wenzake Norah Waamsha Vilio Msiba...

Post Image

Dar es Salaam. Vilio na simanzi vimetawala kwenye msiba wa mtoto Norah Marealle baada ya kuwasili kwa wanafunzi wenzake wa Shule ya Atlas ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao waliwasili saa tano nyumbani kwa kina Norah eneo la Sinza Mori. Nora ambaye amefariki dunia jumapili iliyopita huku kukiwa na madai kwamba alibakwa na […]

Read More..