-->

Daily Archives: November 20, 2017

Wamehamia kwa Kajala na Shetta

Post Image

UBUYU wa leo unawahusu mastaa wawili Kajala Masanja na Shetta kudaiwa kuwa ni wapenzi huku ikielezwa wanatumia mbinu ya danganya toto kwa kitendo cha Shetta kuonyesha ukaribu kwa mtoto wa Kajala anayeitwa Paula. Ziliwahi kuzagaa habari kuwa Shetta na Paula ni wapenzi lakini Shetta alipinga taarifa hizo na kusema kuwa anampenda mke wake na hawezi […]

Read More..

Mapya yaibuka kifo cha Ndikumana

Post Image

Siku chache zikiwa zimepitatangu mchezaji wa soka wa Rwanda Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tazania Irene Uwoya, mapya yameibuka kuhusu kifo chake cha ghafla kilichoacha majonzi kwa wapenzi wa soka. Mdogo wa marehemu Ndikumana Laddy Ndikumana ambaye pia ni mcheza soka, amesema wanaamini kifo cha kaka yake (Ndikumana) kimesababishwa na […]

Read More..

Familia ya Ndiku Yazuia Uwoya Asipigwe Rwan...

Post Image

FAMILIA ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ (39), imezuia staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wa jamaa huyo asifanyiwe fujo baada ya kutinga nchini Rwanda jioni ya Ijumaa iliyopita. Hatua hiyo ilikuja baada ya Ndikumana kupoteza maisha huku Uwoya akishushiwa tuhuma za hapa na […]

Read More..

Riyama Afungukia Kukacha Shule!

Post Image

RIYAMA Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu. Mwanaspoti lilipiga stori na Riyama na alisema kutokana na kuona mambo magumu shule alilazimika kukatisha masomo yake na hivyo kuishia kidato cha pili. “Kwa kweli ugumu wa […]

Read More..

Ray Kigosi Atoboa Haya

Post Image

Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi ‘Ray’, leo amekuja na mpya baada ya kusema yale aliyokuwa akiyafanya utotoni alipokuwa shule. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ray amesema alipokuwa mtoto alikuwa mtukutu na kukaa nyuma kabisa ya darasa kwa wale wanafunzi wanaojulikana maarufu kwa kupiga kelele, (backbencher) na kuwa wa kwanza kutoka nje kabla ya […]

Read More..