-->

Author Archives: editor

Johari Afungukia Ishu ya Kuolewa Mke wa Pil...

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka na kuweka wazi sababu yeye kubadili dini na kuwa muislam na kudai kwamba mwanaume hajawa sababu yeye kubadili dini bali yeye mwenyewe ana damu ya uislam ndani yake kwani wazazi wake mmoja ni mkristo na mwingine ni muislam. Johari kupitia kipindi cha eNEWS alisema hana mpango wa kuolewa […]

Read More..

Uwoya: Nikilala, Nikiamka Nawaza Siasa Tu

Post Image

STAA mkali Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa bado hajakata tamaa ya kuwa mwanasiasa japokuwa mwaka jana alishindwa lakini hiyo imempa nguvu ya kujipanga zaidi na kwamba kwa sasa akili yake yote akilala, akiamka ni kuwaza siasa tu. Akizungumza na Amani Uwoya alisema kuwa, changamoto alizozipitia kipindi cha kampeni zimemfundisha mambo mengi na pia zimemkomaza […]

Read More..

Roma Mkatoliki: Babu Tale Alinichimba Mkwar...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki ambaye leo ameachia ngoma yake mpya ‘Kaa tayari’ amefunguka na kusema moja ya mstari uliopo kwenye wimbo wake huo unamuhusu meneja wa Diamond Platnumz ambapo unamchana kuwa saizi anamganda sana Diamond Platnumz mpka amelisahau kundi lake na Tip Top Connection. Roma Mkatoliki amedai kabla ya wimbo huo haujatoka aliweza kusimkilizisha Babu Tale kisha […]

Read More..

Tetesi:Masogange, Rammy Galis Wamwagana

Post Image

Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ubuyu ulioenea ‘town’ kuwa uchumba wa mastaa wapenzi Bongo, Rammy Galis na Agness Gerald ‘Masogange’ unadaiwa kuvunjika. Ubuyu huo ulianza kutapakaa baada ya picha ya Rammy ambaye ni mwigizaji wa Bongo Muvi na Masogange kuwekwa kwenye kurasa mbalimbali za Mtandao wa Kijamii wa Instagram huku zikiwa zimeambatana na maneno yanayodaiwa […]

Read More..

Dudubaya:Muziki Siyo Mkojo

Post Image

Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa msanii anapaswa kutulia na kujipanga kwenye kutengeneza nyimbo zake ili aweze kufanya kazi nzuri na yenye kuvutia kwa mashabiki kwani muziki si kama mkojo kuwa unapojisikia umekubana ukojoe. Dudubaya amesema hayo kupitia kipindi cha eNEWS alipokuwa akielezea sababu za yeye kuendelea kutamba na kuzungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..

Shilole: Huyu Ndiye Mrithi wa Nuh!

Post Image

STAA anayebeba fani mbili kwa mpigo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alimwanika bwana’ake mpya huku akijinadi kuwa ndiye mrithi halali wa aliyekuwa mpenzi wake wa kitambo, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni baada ya kubambwa kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar es Salaam ilipokuwa ikifanyika Shoo ya Black Tie, […]

Read More..

Kufuatia Tetesi za Kuwepo kwa Mgogoro wa Ki...

Post Image

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma. Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, […]

Read More..

Linah Sanga Afunguka Sababu ya Kutomuweka ...

Post Image

Msanii Linah Sanga ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Imani’ amefunguka na kusema kuwa kwa mambo ambayo tayari yamemkuta kwenye mahusiano hayupo tayari tena kumuweka wazi mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii. Linah Sanga akiongea kwenye kipindi cha Enews amesema kwamba kwa sasa yeye hayupo tayari kumuweka wazi mpenzi wake kama ilivyokuwa […]

Read More..

Picha: Shamsa Ford Amuweka Wazi Aliyechukua...

Post Image

Staa mrembo kutoka bongo movies,  Shamsa Ford baada ya kupigana chini na mkali wa bongo fleva Nay wa Mitego na kuapa kutomwanika tena mpenzi wake mpya katika mitandao ya kijamii, Jumamosi hii hali imemshinda na kuanza kushare picha mbalimbali akiwa na mtu wake wa karibu. Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto […]

Read More..

Shule 25 Kunufaika na Filamu za ZIFF

Post Image

MKURUGENZI wa Tamasha la Ziff, Profesa Martin Mhando, amesema kwamba baadhi ya filamu katika tamasha la mwaka huu zitatumika kwa ajili ya kufundishia. “Tumeanza kujihusisha na filamu za kuonyesha vijijini na kufundishia shuleni ambapo shule zaidi ya 25 zitanufaika kwa elimu hiyo itakayokuwa ikitolewa kila wiki.” Alisema wameona kuna umuhimu mkubwa kutumia filamu kufundishia ili […]

Read More..

Nilimtoa Masogange-Belle 9

Post Image

Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’. Belle 9 alisema huwa anaamini kipaji cha mtu ndio maana wengi aliowashirikisha katika nyimbo zake wamepata umaarufu mkubwa. “Nimefanya kazi na wasanii wasiotambulika akiwemo Masogange na wamepata umaarufu mkubwa pia […]

Read More..

Dkt Shein: Zanzibar Kuwa Kitovu cha Filamu ...

Post Image

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar inaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika tasnia ya utengenezaji filamu na maigizo kutokana na mandhari na historia yake katika fani hiyo sambamba na mikakati liyojiwekea. Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar, wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Kunal […]

Read More..

Hakuna Ubaya Kutoka na Kajala- Msami

Post Image

Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda anatoka naye kimapenzi ‘Si jambo baya kwani Kajala ni mtoto wa kike na yeye ni mwanaume hivyo chochote kinaweza kutokea kati yao’. Msami […]

Read More..

Rose Ndauka Afundukia Swala Ulabu ‘Lokesh...

Post Image

YAPO madai ya chini kwa chini kwamba eti staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ili aweze kuigiza kwa uhalisia sawasawa lazima apige ulabu location, jambo ambalo amelikanusha vikali. Akizungumza na Juma3tata kwa njia ya simu juzi Jumamosi, Rose alisema kuwa hajawahi kunywa pombe location na kwamba maneno hayo yapuuzwe kabisa na mashabiki wake. “Nani […]

Read More..

Wolper Adaiwa Kunasa Mimba!

Post Image

Habari ya mjini! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, anadaiwa kunasa ujauzito wa mwandani wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ hivyo yupo mbioni kutimiza ndoto yake ya kupata mtoto hivi karibuni. Habari za uhakika kutoka kwa watu wa karibu wa mastaa hao zilidai kwamba, ishu hiyo ni mpango wa […]

Read More..

Masanja Mkandamizaji Amvalisha Pete ya Uchu...

Post Image

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha. Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa la Mito ya Baraka, aliweza kumvalisha pete mchumba wake Monica.

Read More..

Kutoka na Staa, Lazima Ujipange Aisee

Post Image

USTAA gharama! Inaelezwa hivyo na ndiyo ukweli wenyewe ulivyo. Mastaa wenyewe hupata wakati mgumu kutokana na kulazimishwa namna ya kuishi na taito zao kwa jamii. Pengine utakuta msanii fulani angependa kupanda daladala kwa nauli ya shilingi 400 kwa ruti moja, lakini kwa sababu ya kuogopa macho ya watu na kulinda ‘image’ yake inambidi akodi taksi […]

Read More..

Picha: Show ya ‘The Black Tie’ ya Wema ...

Post Image

Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu. Steve Nyerere amwaga mapesa kwa Christian Bella Show hiyo ambayo imefanyika usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam, imeacha historia ya aina yake katika muziki kutokana […]

Read More..