-->

Beka Atoa Sababu ya Kurudia ‘Aje’ ya Alikiba

Akiongea kwenye PlanetBongo ya East Africa Radio, mkali wa R&B, Beka amesema suala hilo ni jambo ambalo haliwezekani kwani yeye tayari yupo kwenye uongozi, ambao unamsimamia kazi zake.

beka

Beka

“Suala la kuwa tayari kusainishwa na Alikiba haiwezekani kwa sababu mi nipo kwenye management ambayo nina mkataba nayo, management ambayo imeninulia vifaa vya bendi, na sasa hivi ndani ya miezi hii mitatu au minne mbele nitazindua bendi yangu”, alisema Beka.

Pia Beka amesema yeye ameamu kufanya hivo kwani ni wimbo amabo anaupenda na pia ni shabiki mkubwa wa Alikiba, hivyo ameamua kumpa ushirikiano msanii huyo.

“Kufanya ngoma ya Alikiba mimi ni shabiki wa Alikiba, naipenda na nyimbo ya Alikiba ndio maana nikaamua niimbe kwa feelings zangu lakini kutumia maneno yake, na pia napenda usapoti vya nyumbani kwa hiyo nikaona nimsapoti brother”, alisema Beka.

eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364