-->

DIAMOND Platnumz akutana na wasanii wa Rwanda

kutokea Bongoflevani Diamond Platnumz mwishoni mwa weekend hii alikuwa nchini Rwanda ambapo alienda kwenye mambo yake binafsi ikiwa ni pamoja na kutangaza bidhaa zake za Diamond Karanga na Chibu Perfume kisha kupata nafasi ya kukutana na wasanii wa nchi hiyo..

Diamond amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na wasanii wa Rwanda wakipata Dinner na kushare experience kuhusu muziki…>>>”Last night during my Dinner with my Fellow Artists from #Rwanda! It was a great evening, sharing experiences and ideas….Time to put our East African / African industry on the global map! Let’s do it, fam….✊” – Diamond Platnumz

Comments

comments

Post Tagged with , ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364