Droo ya Nusu Fainali za ‘UEFA Champions League’
Ratiba ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeshapagwa, kama inavyoonekana hapo chini
Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 26 na 27, mwaka huu kisha kurudiana Mei 3 na 4 ikiwa ni katika mchakato wa kuelekea kwenye fainali ya michuano hiyo itakayochezwa kwenye Uwanja wa San Siro jijini Milan nchini Italia mnamo Mei 28, mwaka huu.