-->

Faiza :Watu ‘Fake’ Wana Haribu Vizazi Vyetu

FAIZA56

Hakuna kitu nachukia duniani kuliko vyote kama watu fake – watu fake duniani wana haribu vizazi vyetu…..wanatabia zote mbaya na umaskini juu maana unapo kuwa fake unakua mjinga na ujinga ni umaskini na hata kutoka kimaisha ni ngumu na ukitoka hata ukiwaje mwisho wa siku unarudi chini coz watu fake there is where they belong- wanafki-wazuri machoni mioyo yao haina utu- muonekano yao inawafunika mara nyingi wanatambulika kama wastaarabu – washika dini na kujipa heshima wasio stahili lkn kitu kizuri kuhusu wao M.Mungu ana namna ya kuwa umbua na walivyo wajinga hawashtukagi bado wanajipaga thamani wasizo stahili- bado ukiwa smart unawacheki ujinga wao unapo ishia – kuna familia nyingi sana watoto wa vizazi vipya wana gundua haya kwa familia zao na wanaishi kwenye wakati mgumu mpaka mtoto anaweka tofauti juu ya mzazi wake mjinga na mwingine- anapo kuelezea huamini na hii huweka watoto kwenye wakati mgumu sana- lkn mimi nikufunbue akili- kuanzia mtu mzima- mtoto – mke au mume ikiwa unaona umezungukwa na watu fake kwenye maisha yako achana nao maana mwisho wa siku na wewe utakua fake na mjinga kama wao- maana katika familia nyingi wanapenda kuishi kwa kulinda status za familia zao – huku wakiwa wanajua kabisa wanalinda ujinga na aibu zaidi kwa siku za baadae- ndio zile familia ambazo kwa mbali unatamani kutokana na status zao lkn ukijua mazambi yao na makosa yao unabaki unashangaa na kuona maajabu ambayo pengine hujawahi kuona wala kusikia – so ondoka anza maisha yako real- ishi kwenye uhalisia- kwenye usawa haki heshima ukweli – pigana ondokana na umaskini wa mawazo na maisha- mwisho wa siku utaweka tofauti kubwa na kuishi huru ….. #BADILIKA ACHANA NA FALA HAIJALISHI NI KINA NANI BALOZI WA MAISHA YAKO NI WEWE ……?

Faiza Ally on instagram

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364