-->

Mkali wa Komedi, Nisha Kuja na ‘Kiboko Kabisa’

UNAPOSIKIA tu jina la Nisha ambaye ni Salma Jabu jina la Kliniki ni mwanamke hatari katika fani ya uchekeshaji Nisha anafanya serious Comedy na kujitengenezea jina na pale popote inapotazamwa kazi ya filamu kutoka Bongo sasa anakuja na Kiboko Kabisa filamu fungua mwaka.

Nisha231
January mwaka mpya 2016 na kitu kipya cha Historia kinakuja na si kingine ni Filamu kali na ya kusisimua ya Kiboko kabisa kutoka Nisha’s Film Production chini yangu mwenyewe Nisha,”anatamba Nisha.

Ndani ya filamu ya Kiboko Kabisa unakutana na wasanii wakali katika tasnia ya filamu Bongo ambao wanageuza shinda lisilo rasmi hapa kuna Nisha pande hizi kuna King Majuto fundi, unakutana Ben Blanco kipenzi cha watoto, pembeni Jengua kuna shughuli katika sinema hiyo.

Sinema ya Kiboko Kabisa ipo tayari kwa ajili yako na mwezi huu January, 2016 inakuja kulikamata soko na kutikisa ni kisa cha aina yake na inatoa taswira kwa watengenezaji wa filamu wengine sema huwezi kuikosa filamu ya KIBOKO KABISA.

FC

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364