-->

Gharama ya Mwili Wangu ni Ada ya Watoto London JB

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephen maarufu kama JB amesema gharama ya mwili wake ni sawa na kusomesha watoto wawili London.

Jb-21

Jb ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV .

”Mimi mwili wangu ni wa Kimarekani nimekwenda juu na mnene ndiyo maana hata watafiti wanakiri kwamba hakuna mtu mwenye mwili kama wangu hapa nchini”

Pia sipendi kuwa mwembamba na hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na mwili kama wangu maana kuwa mwembamba saa nyingine ni kwa kutoridhika na maisha na chakula ambacho mtu anakula.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364