-->

Idris Sultan Aomboleza Watoto Wake na Wema Sepetu

Idris Sultan ambaye ni mwenzi wa mwanadada Wema Sepetu, ambao hivi karibuni walitoa taarifa kuwa wanatarajia kupata mtoto, ameibua hisia za mashabiki wake baada ya kuandika ujumbe unaoashiria kuharibika kwa ujauzito huo wa mwenzi wake.

idriss12

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Idris ameandika ujumbe ukionyesha kuhuzunishwa kwa kuharibika kwa ujauzito huo, kwani walikuwa wenye furaha huku wakiwatarajia watoto hao ambao inasemekana walikuwa mapacha.

“To my unborn twins, So quickly you came into our lives, So quickly torn away. Never got the chance to meet you, There’s so much I want to say. All these thoughts running through my head, It’s enough to drive me insane. Though you lived only 13 short weeks, You were loved so very much. I wish that I could hold you, I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️

Akimaanisha……. (Kwa mapacha wangu ambao hamjazaliwa, kwa haraka sana mlikuja katika maisha yetu, haraka sana mliondoka, sikupata nafasi ya kukutana nanyi, kuna mengi sana nataka kusema, mawazo haya yote yanazunguka kichwa changu, inanifanya mwendawazimu, ingawa muliishi kwa wiki fupi 13 tu, mulipendwa sana, nilitamani ningewabeba, nilitamani nihisi mguso wenu, naomba kwamba kwenye maisha mengine tutapata nafasi ya kuonana. Mungu hutoa na kutwaa kadri ya mipango yake na hatuwezi laumu, ila tunaomba ni kwa sababu na mipango mizuri aliyotuwekea sisi, tumejifunza kwa maumivu sana lakini hatutaacha kujaribu tena na tena, na naapa muda ambao kaka zenu na dada zenu wakija duniani, hii dunia itakuwa zaidi ya tayari kwa ajili yao.
baba yenu mpendwa.)

Post hiyo imeibua hisia nyingi huku wengi wao wakuwapa pole, na wengine wakiwapondea na kusema kuwa walikuwa wanadanganya kwani mwandada huyo hakuwahi kushika mimba.

jeuri_mmoja : Daa umenitoa chozi jmn mungu atawajalia mpate wengine

upendo_kisobi_kapinga: Mungu atampa mwingine

mirandasely: Blah Blah blah, Nonsense,u guyz think all people are stupid and have got shallow minds like urs,dumb asses.you and that famewhore deserve each other,mxeeeeeeeew.

idriss23

 

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364