-->

Je Unataka Kwenda Kuishi na Kufanya kazi Marekani? Nafasi ni Yako

Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree! Jaribu bahati yako sasa, dirisha la maombi litakuwa wazi kuanzia mwezi Oktoba 4, hadi Novemba 7 2016.

dv-lottery-2014

Kila mwaka Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani imekuwa ikitoa nafasi ya kutuma maombi ya watu kwenda kuishi na Kufanya kazi Marekani kupitia mpango ujulikano kama “Diversity Visa program (DV-2018)”. Ni kama vile bahati nasibu na hapa  hautakiwi kutoa au kulipa chochote zaidi ya kuwa na picha yako ya digitali na kujaza maelezo machache kupitia mtandao wao wa  www.dvlottery.state.gov. Maombi yote ni lazima yatumwe kwa mtandao tu.

Usikubali kutoa pesa kwa mtu au shirika lolote wanaokupata ahadi kuwa watakuongeza nafasi zaidi za wewe kushinda kuchaguliwa katika mpango huu. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na internet na kutuma ombi mara moja tu kwa mwaka. Ukituma mara mbili au zaidi basi ombi lako litaenguliwa. Mamia ya watanzania wameshanufaika na mpango huu.

Ukitaka kutuma mambi bofya hapa>>> https://www.dvlottery.state.gov/

Angalizo: Maombi ni bure na usikubali kutapeliwa!

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364