-->

Kwa Wale Wanaopenda Kuigiza, JB Ametoa Nafasi 7kwa Wanawake na 4 kwa Wanaume

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, muigizaji na mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu nchini, Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ ametagaza fursa hii kwa wanawake wenyevipaji vya kuigiza.

JB-32

Kwa wale wanaopenda kuigiza, niliahidi kuwapa nafasi waigizaji wapya, nafasi zilizipo. Script inahitaji watu wafuatao, wanawake 6…umri 26…33..wawe wanavutia sana, wawe na uwezo mkubwa wa kuigiza.

Awe tayari kutupa muda wake wa miezi 2, watakuwa na scene nyingine nje ya Tz, hawa ningependa kuwaona kwanza angalau kwenye acc zao hapa insta kabla ya kuwaita kwenye usaili.

Mama mtu mzima anayeweza kunizaa lakini mwenye muonekano wa kitajiri (nafasi 1), wanaume miaka 33. ..45. nafasi tatu. awe na uwezo wa kuigiza.

mzee wa kisasa 60….75.. (nafasi moja)…lazima niwaone kabla sijakuita haya ni tag niingie kwenye acc yako…nikishindwa kuwapata itanibidi nirudi kwa waigizaji waliopo. ..kazi kwenu.-JB

Account ya JB instagram hii hapa>>>HAPA

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364