-->

Rose Ndauka Azindua Jarida Lake la ‘Rozzie Magazine’

ROSE NDAUKA23

Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya leo amezidua jarida lake linaloitwa Rozzie ambalo awali lili kuwa kwenye mfumo wa kidigitali.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni Rose ameeleza;

Namshukuru Mungu kwa yote, ilikua ndoto yangu kubwa kuileta Rozzie Magazine iwe kwenye Hard Copy baada ya kuwa online kwa muda mrefu,
Leo hii nimezindua Rozzie Magazine ambayo sasa mtaweza kuipata mitaani, kwa sasa itakua free na itapatikana sehemu mbali mbali.

Thanks to my team and everybody who was there from the scratch.. Niwashukuru na Nyie mashabiki wangu hope mtaendeleza support kwa hili linalokuja.
I prayed 2016 to be a year of success,God is listening… Papah Ahsante!

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364