-->

Tiffah Dangote Anawasumbua Wengi-Wolper

Hapa na Pale: Staa wa Bongo movies, Jacqueline Woper ambaye siku za hivi karibuni ameonekana kuwa karibu na falimila ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz amefunguka hayo kupiytia ukurasa wke myandaone mara baada ya kubandika picha ya mtoto Tiffah.

WOLPER42

Tiffah Dangote..mtoto anawasumbua wengi huyu…!Naona mpk kuna wengine wanahisi wanalingana na Tiffah maana sio kwa mineno inayowatoka…Mchambo wa leo naomba unifikie mpk nilipo nilikuwa naomba mchambo upande ndege leo unifikie…Usiponifikia nilikua naomba niukatie ticket…Vyote vikishindika muende chooni mkachambe wenyewe vizuriiii…???

Ujumbe umefika.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364