Kutoka katika albamu ya ’20’kundi la Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia video ya ngoma yao iitwayo ‘Ofana Nawe’ ambayo inayopatikana katika albamu hiyo. Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.