Punguza Uzito kwa Njia Iliyo Salama Zaidi
Kupunguza uzito lazima kuwe kwa afya kwa kuzingatia upunguaji salama kwa bidhaa zilizothibitishwa na zenye vibali. Wengi wamekuwa wakipumbazwa na urahisi wa bei matokeo yake wamejikuta wakiishia kupata madhara makubwa ya kudumu ikiwamo ugumba, kansa na hata kupoteza maisha. Mara nyingi bidhaa hizi za hatari huuzwa kwa kificho kificho na wauzaji wake hawajui hata mchanganyiko wa bidhaa.
Je, kupunguza uzito kunaambatana na Kuharisha na kukonda?
Hapana hayo yote mawili ni magonjwa tena hatari. Ukipunguza uzito unatakiwa uondoe kilo zilizozidi tu na tena upunguaji usiambatane na kuhara.
Unayotakiwa uyapate katika kupunguza uzito ni pamoja na:
1.Kusafisha (detox)
Bidhaa salama zinatakiwa kujihakikishia zinakuondolea mrundikano tumboni bila kukuletea usumbufu wala Kuharisha.
2.Kuchoma mafuta(fat burning)
Lazima bidhaa unazochagua kuzitumia zikupelekee kuchoma mafuta yaliyokuletea manyama uzembe. Hutakiwi kwa namna yoyote kukonda kwani kukonda ni ugonjwa.
- Uwezo wa kusawazisha (ability to balance)
Kwakuwa unapokuwa na uzito uliozidi unakuwa huna uwiano unaofaa wa tindikali na alkali mwilini, basi bidhaa unazozipa jukumu la kupunguza uzito uliokuzidia zinatakiwa kukusawazishia na kuweka uwiano wa viwango vya tindikali na alkali ili mwili ufanye kazi barabara.
- Kutia nguvu na kuondoa uzee/uchakavu (energy and rejuvenation)
Kwakuwa uzito uliopitiliza hushambulia tishu na kuuchosha mwili, mwenye uzito mkubwa huonekana mkubwa kuliko umri wake. Basi bidhaa bora na salama ni lazima ziondoe uchakavu na kukunawirisha. Aidha bidhaa hizo zisikuchoshe na uendelee kuchangamka na kufurahia kuendelea kutekeleza maamuzi yako sahihi ya kupunguza afya kwa bidhaa hizo bora.
Usikubali kutumia bidhaa zinazoambatana na kuacha kula. Unatakiwe ule mara kwa mara huku ukiweka angalizo kwenye nini ule, saa ngapi na kwa kiwango gani.
Kwa msaada wa namna ya kupata bidhaa hizi zitakazokupunguza vyema bila kukuchosha.
Ili kupata elimu zaidi na mahali pa kuzipata bidhaa hizo
Whatsapp +255 714 566 844 or +255 712 739 991
Facebook: Kwambiwa Nelly Machenje & Myhealth Mywealth
Youtube: myhealthmywealth