-->

Punguza Uzito Kwa Njia Salama na Njema Isiyo na Madhara

IMG_0989

Mpaka leo mimi NELLY KWAMBIWA MACHENJE nimefaniwa kupunguza zaidi ya kilo 45. Nilikuwa na kilo 134 nilipoanza. Sasa ninafurahia kupunguza uzito kwa bidhaa nzuri na salama.

Karibu upunguze uzito kwa ubora na afya ya hali ya juu. Hakuna kuhara wala kukonda. Kukonda na kuhara ni magonjwa, huku tunapunguza uzito na kuondoa manyamauzembe ukiwa unanawiri na kuvutia. Unakuwa kijana, unaonekana kijana na zaidi unakuwa na nguvu za kiutendaji za ujana. Bidhaa zetu ni za kula.

Ni tamu na usipoangalia utavuruga dozi. Ni tamu kweli kweli. Unapoongelea kupunguza uzito ni lazima kupangilia ulaji, Ila huku hatufanyi mazoezi ya kujiua, huku tunakula kwa kiasi, muda na aina za vyakula. Ukinunua kifurushi maalum cha kuanzia “get started” kampuni kwa kujali thamani ya pesa zako, inakupa ofa ya kununua kwa bei za jumla mara nyingine utakapohitaji bidhaa zetu.

Lengo ni kukufanya utimize malengo yako. Kwa mwongozo nitakaokupa, uzito uliopunguza hautakaa ukurudie maana nitakapokuacha utakuwa umejua namna ya kuishi bila kuongezeka tena. Huwezi kuzilinganisha bidhaa zetu na zingine za kichina unazozisikia huko mitaani kwasababu:

– Za kwetu hazina kemikali kwahiyo hizi sio “weka mbali na watoto” maana ni salama kwa watu wote katika familia hata wa kundi dhaifu la watoto, wazee, wajawazito na wanaonyonyesha. Zimethibitishwa na zimeruhusiwa kuwa salama na shirika la viwango duniani ISO, zinatambuliwa kuwa zinafaa kwa dini zote na kupewa ubora wa viwango na HALAL, na hapa kwetu vina kibali cha TFDA.

Sio zile zinazoingizwa kimyakimya kwenye mabegi hatimaye zinawaumiza na kuwatia ubovu na madhara ya kudumu ya miili. Bidhaa zetu huingizwa bila kificho na zinalipiwa kodi zote na zina vibali. Wa Dar es salaam unaweza kufika ofisini Masaki, au ukituma pesa kabla ya saa 8 mchana utaletewa ulipo maana usambazaji unaanza saa 8 mchana kila siku. Wateja wa mikoani unatuma pesa kabla ya saa kumi unatumiwa mzigo kwenye basi utakayoelekeza wewe, na wa Zanzibar unatumiwa kwenye boti zenye uhakika, wa nje ya Tanzania tunajadiliana juu courier unayoiamini. Nipo active muda na saa yoyote kukusaidia.

Nafanya hivyo kwakuwa nilisaidiwa vivyo hivyo na nimeapa kutopumzika mpaka ufanikiwe, karibu.

Piga au WhatsApp +255714566844 & +255712739991 na kutufuata @my_health_my_wealth @my_health_my_wealth

Facebook: Kwambiwa Nelly Machenje & Myhealth Mywealth Youtube :myhealthmywealth

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364