-->

Rais Magufuli Kasafiri kwenda Arusha

President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshafika Arusha tayari kwa ajili ya kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.

JPM

Kwenye hii picha anaonekana akisalimiana na mbunge wa Arumeru Mshariki Joshua Nassari ambae alikua mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA).

Picha imepigwa na Ikulu.

MillardAyo.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364