-->

Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Watu Insta

Ray

Ray

Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram.
“Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta?
Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako ..(life is all about the money.)”

Nadhani Ujumbe umefika.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364