-->

Zari: Tiffah Atakuja Kuwa Raisi Wenu

Kufuatia tabia ya baadhi ya watu kuendelea kumporomoshea maneno machafu mototo wake Tiffah tangu hata hajazaliwa na hadi leo, Zari the boss Lady amewapasha watu hao kuwa Tiffah siku moja atakuaja kuwa rais na watamuheshimu kwani anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia.

Tiffah23

“Matusi from day one even before she was born. But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making #IronLady #EllenJohnsonSirleaf #Kichuna @princess_tiffah.”
Zari aliandika kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya Tiffah.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364