-->

Tag Archives: NDAUKA

‘Homecoming’ na ‘Going Bongo’ ni Fu...

Post Image

Msanii wa filamu Rose Ndauka amesema kuwa filamu mpya ya Homecoming pamoja na Going Bongo ni filamu bora zaidi kuzinduliwa nchini mwaka 2016 ambapo amewataka wasanii wa Tanzania kuiga mfano. Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Rose alisema kila msanii wa filamu aliyoangalia filamu hizo lazima alitoka na kitu. “Mwaka umeanza kwa changamoto ya kazi, hivi […]

Read More..

Ndauka Asisitiza Elimu kwa Wasanii

Post Image

Staa wa filamu Rose Ndauka amewataka wasanii wenzake pamoja na mashabiki katika nafasi zao kuzingatia elimu ambayo ina umuhumu mkubwa katika suala zima la maendeleo. Rose amesema, kwa mtu yoyote kuendelea katika nafasi aliyopo ni muhimu kujituma kujifunza zaidi kwa upande wa sekta binafsi na sekta rasmi, ikiwa inafahamika pia kuwa elimu haina mwisho. Staa […]

Read More..

Rose Ndauka Azindua Jarida Lake la ‘Rozzi...

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya leo amezidua jarida lake linaloitwa Rozzie ambalo awali lili kuwa kwenye mfumo wa kidigitali. Kupitia ukurasa wake mtandaoni Rose ameeleza; Namshukuru Mungu kwa yote, ilikua ndoto yangu kubwa kuileta Rozzie Magazine iwe kwenye Hard Copy baada ya kuwa online kwa muda mrefu, Leo hii nimezindua Rozzie […]

Read More..

Ndauka Aingia Kwenye Usimamizi wa Muziki

Post Image

Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa, baada ya kuguswa sana na kuoa vipaji kwa wasanii wengi chipukizi, ameamua kuwekeza katika kusimamia vipaji hivyo kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto zao za kufanikiwa kisanaa, akisimama kama Meneja. Rose amesema kuwa, kwa sasa ana wasanii wanaofikia 10, akiweka wazi kwa mashabiki wake kuwa ataanza rasmi kwa kumtambulisha msanii wake wa […]

Read More..

Rose Ndauka Hajali Nyumba Yao Kuvunjwa

Post Image

WAKATI mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waishio mabondeni na pembezoni mwa bahari na mito wakihaha nyumba zao kuvunjwa, staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema hajali kama nyumba yao itakutwa na bomoabomoa hiyo. Badala yake, alimpongeza Rais John Magufuli kwa kusimamia zoezi hilo, kwani wengi wa wanaobomolewa walishapewa taarifa mapema na hawakutii agizo […]

Read More..