-->

‘Simba’ Amfanya Alikiba Ashindwe Kufanya Uzinduzi wa Lupela Mbugani

ALIKIBA53

Jana pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya Lupela lakini mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za wanyama.

‘’Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili I’make sense’ zaidi ili ‘honey’ wangu Lupela ainjoy zaidi lakini kiukweli ilikuwa ni uoga wangu tu,asije akatokea simba halafu Lupela akafia pale pale,lakini sio kitu tumefanya kitu kizuri na tumejaribu ku’create’ vitu ambavyo  watu watapenda tumecheza,tumeinjoi,kuna ‘parts’ za elephants kidogo kuonyesha kwamba najali jinsi gani kwamba mimi ni balozi nafanya kazi yangu vizuri,’’Ali Kiba

@cloudsfmtz on Instagram

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364