-->

Sitaki Tena Kuitwa Binti Machozi – Lady JayDee

Queen wa bongo fleva Lady Jay Dee Baada ya kuamka tena na Ndi Ndi Ndi, ameendela kulikataa wazi jina lake alilokuwa akilitumia hapo awali la binti machozi.

Lady JayDee

Msanii wa Bongo fleva Lady Jay Dee

Akizungumza na Enewz Jay Dee alisema kuwa kwasasa hataki tena kusikia watu wakilitumia jina hilo kwake wala kwa bendi yake kwani bendi hiyo sasa inajina jipya la ”The Band”

Jay Dee amelikataa jina hilo kutokana na madai kuwa maneno mara nyingi huwa yanaumba kwahiyo isije ikaja ikamtokea ikawa hivyo bora mapema aepukananelo.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364