-->

Tag Archives: GABO

Gabo Awapa Makavu ‘Matipwatipwa’ wa Bon...

Post Image

Staa wa Filamu Bongo, Salim Ahmed ‘Gabo’ juzikati aliwachana mastaa wa kike wa filamu Bongo kuwa wengi wao hawafai kuigiza scene muhimu kwa sababu wamejiachia na kuwa matipwatipwa. Akipiga stori na Ijumaa, Gabo alisema anawashangaa mastaa wanaolalamika kutopewa nafasi za kuigiza kwa sasa akidai kuwa sababu kubwa ya kuchuniwa ni kuchuja kwao na kutoendana na […]

Read More..

Full Interview: Gabo Zigamba Akizungumzia F...

Post Image

Staa mkali wa Bongo Movies, Gabo Zigamba amefunguka mengi kusu filamu yake ya Kona Tatu andlifanya mahojiao na mtangazaji Bond wakipindi cha action &Cut. Mtazame hapo chini

Read More..

Filamu ya Kasanga Naye Mwana Yaingia Sokoni...

Post Image

ILE Filamu ya Kasanga naye mwana imeingia leo sokoni na kusambazwa nchi nzima akionge na FC Nassor kutoka kampuni ya Steps Entertainment ya jijini Dar es Salaam amesema kuwa filamu hiyo inaptaikana katika maduka yote ya filamu na Bongo movie Shop kila mkoa. Filamu ya Kasanga Naye Mwana imeingia leo sokoni na inapatikana katika maduka […]

Read More..

Huyu Ndiye Gabo Zigamba Mjukuu wa Mzee Kiye...

Post Image

UNAPOSIKIA jina la Gabo Zigamba si jina geni katika tasnia ya filamu , Gabo amejizolea umaarufu katika tasnia ya filamu baada ya kufanya vizuri na kuwachanganya wapenzi wa filamu Bongo, wengi wakiamini kuwa ni kijana wa Kimachinga kutoka Kusini kumbe ni Mdigo na Mhehe. Jina halisi la msanii huyu ni Salim Ahmed Issa akisema hilo […]

Read More..

Gabo Hana Mpango na Wahindi

Post Image

MKALI wa filamu hapa nchini, Gabo Zigamba, amedai kwamba anaweza kusambaza kazi zake mwenyewe bila ya kuwategemea Wahindi. Msanii huyo amedai kwamba filamu yake ya ‘Safari ya Gwalu’ alifanikiwa kuisambaza mwenyewe kupitia kampuni yake ya D Entertainment, hivyo hana ulazima wa kutegemea watu binafsi. “Nilikuwa kama najaribu kuisambaza kazi hiyo mimi mwenyewe, nimegundua kwamba inawezekana kwa kuwa nimeweza kusambaza Tanzania mzima kupitia […]

Read More..

Naweza Kuuza Movie Zangu Bila Kumtegemea Mh...

Post Image

Msanii wa filamu aliyetamba kwenye Bado Natafuta, Gabo Zigamba amesema filamu yake mpya ‘Safari ya Gwalu’ aliyoisambaza mwenyewe kupitia kampuni yake ya D Entertainment, imemfanya agundue kuwa kusambaza mwenyewe filamu kuna manufaa zaidi kuliko kupeleka kwenye makampuni binafsi ya usambazaji. Gabo ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa tayari filamu yake imeshasambazwa Tanzania nzima na ameuza nakala […]

Read More..