-->

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa kisa Diamond

Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa  Bongofleva Diamond Platnumz  akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz.

Stori ya Diamond na Tunda imefikia hapa?

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364