Unafahamu Unayoyapata Kwenye Pombe? Jua Chakufanya Hapa
Kubwa na zuri la kwanza ni kuburudika na kufurahi. Hakuna maisha bila furaha. Dunia ni njema tukifurahi.
Hata kwenye harusi ya Kana Yesu aligeuza maji mitungini ikafanywa wine safi na harusi ikanoga.
Ila kuna yanayoletwa na pombe ingawa hatuyakusudii. Hatuyapendi pia.
Kwenye kupunguza uzito hatukukatazi chochote. Tunakuelekeza na unaelewa unafanya maamuzi binafsi.
Mimi nimefanikiwa kuondoa zaidi ya kilo 45. Ndio nilikuwa na kilo 134 na hadi desemba 11 nilikuwa na 88. Nataka kuwa na 72 februari 2016 nikitimiza miaka 36. Niulize nakunywaje pombe na bado napungua? Napenda pombe, nakunywa pombe.
Pombe isikuzuie kuondoa uzito ulikuzidia.
Pombe za aina zote zina kemikali ambazo baadhi ya hizo kemikali huwa ni sumu mwilini,hivyo kuacha athari ya kiafya kwa mtumiaji.
Pombe inaweza ikamdhuru mtumiaji kwa kumsababishia madhara yafuatayo:
1.Vidonda vya tumbo.
2.Kansa ya utumbo.
3.Kusinyaa kwa Ini.
4.Kansa ya Ini.
5.Kansa ya umio(oesophagus)
6.Vindonda kwenye mapafu.
7.Utapiamlo hasa wale wanaokunywa huku lishe duni.
8.Matatizo ya ganzi miguuni na mikononi(Peripheral Neuropathy).
9.Kisukari.
10.Figo kushindwa kufanya kazi.(Renal failure)
11.Kansa ya figo
12.Kukosa au upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.(Loss of Libido)
13.Upungufu wa nguvu za kiume kike.
14.Kuongeza kasi kwa baadhi ya magonjwa hata kama unatumia dawa kama vile Kifua Kikuu,Kansa,Kisukari,Shinikizo la damu la kupanda.n.k
15.Kukosa hamu ya kula.(Anorexia)
16.Kutovyonzwa vyema kwa chakula(Malabosorption)
17.Ugonjwa wa kongosho.(Pancreatis).
18.Magonjwa ya moyo.
19.Mwili kutetema(Tremors)
20.Kichaa cha pombe(mtu hawezi kufanya kazi bila ya pombe,au anakuwa kama mgonjwa lakini akipewa pombe tu anakuwa mzima)
HAYA NI BAADHI TU YA MADHARA YA POMBE KIFYA.
Tunywe pombe tuinjoi lakini si kwa kupitiliza. Lakini hata ukiamua kuacha ni vyema zaidi. Kupunguza uzito lazima kuwe kwa afya kwa kuzingatia upunguaji salama kwa bidhaa zilizothibitishwa na zenye vibali. Wengi wamekuwa wakipumbazwa na urahisi wa bei matokeo yake wamejikuta wakiishia kupata madhara makubwa ya kudumu ikiwamo ugumba, kansa na hata kupoteza maisha. Mara nyingi bidhaa hizi za hatari huuzwa kwa kificho kificho na wauzaji wake hawajui hata mchanganyiko wa bidhaa.
Je, kupunguza uzito kunaambatana na Kuharisha na kukonda?
Hapana hayo yote mawili ni magonjwa tena hatari. Ukipunguza uzito unatakiwa uondoe kilo zilizozidi tu na tena upunguaji usiambatane na kuhara.
Unayotakiwa uyapate katika kupunguza uzito ni pamoja na:
1.kusafisha (detox)
Bidhaa salama zinatakiwa kujihakikishia zinakuondolea mrundikano tumboni bila kukuletea usumbufu wala Kuharisha.
2.kuchoma mafuta(fat burning)
Lazima bidhaa unazochagua kuzitumia zikupelekee kuchoma mafuta yaliyokuletea manyama uzembe. Hutakiwi kwa namna yoyote kukonda kwani kukonda ni ugonjwa.
3. Uwezo wa kusawazisha (ability to balance)
Kwakuwa unapokuwa na uzito uliozidi unakuwa huna uwiano unaofaa wa tindikali na alkali mwilini, basi bidhaa unazozipa jukumu la kupunguza uzito uliokuzidia zinatakiwa kukusawazishia na kuweka uwiano wa viwango vya tindikali na alkali ili mwili ufanye kazi barabara.
4. Kutia nguvu na kuondoa uzee/uchakavu (energy and rejuvenation)
Kwakuwa uzito uliopitiliza hushambulia tishu na kuuchosha mwili, mwenye uzito mkubwa huonekana mkubwa kuliko umri wake. Basi bidhaa bora na salama ni lazima ziondoe uchakavu na kukunawirisha. Aidha bidhaa hizo zisikuchoshe na uendelee kuchangamka na kufurahia kuendelea kutekeleza maamuzi yako sahihi ya kupunguza afya kwa bidhaa hizo bora
Ili kupata elimu zaidi na mahali pa kuzipata bidhaa hizo
Whatsapp and or call +255 712739991 or +255 714566844
Facebook: Kwambiwa Nelly Machenje & Myhealth Mywealth
Youtube: myhealthmywealth @my_health_my_wealth @my_health_my_wealth