-->

Video: JB Alipotembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ mwishoni mwa mwaka uliyopita alitembelea kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo Ilala na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki msanii huyo amesema anasikia faraja kuwatembelea watoto hao.

Jb-Almas na Hindu

JB pia alitumia nafasi hiyo kwa kuongea na uongozi wa kituo hicho kisha kuwatambulisha wasanii walioshiriki katika filamu ya Chungu cha Tatu ambayo imeingia leo sokoni na aliongozana nao walikuwa ni Patcho Mwamba, Bi. Hindu, Mau Fundi, Steven Almas.

Jionee Video za tukio zima

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364