-->

Vipengele Vya Tuzo za EATV Hivi Hapa

EATV Awards leo imetangaza vipengele vitakavyokuwepo kwenye tuzo zake, zinazotarajiwa kufanyika tarere 10 Dec 2016.

Eatv Awards Category

Tuzo hizo zitahusisha kazi za muziki na filamu zilizotoka mwaka mmoja uliopita, kuanzia tarehe 1 Julai 2015 mpaka tarehe 30 Juni 2016, na zinazotambulika na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA)

EATV Awards imeanza na vipengele 10 ambavyo ni:-

1. Mwanamuziki bora wa kiume

2.Mwanamuziki bora wa kike

3. Mwanamuziki bora chipukizi

4. Kundi bora la muziki

5. Video bora ya muziki

6.Wimbo bora wa mwaka

Kwa upande wa filamu ni

7. Muigizaji bora wa kiume

8. Muigizaji bora wa kike

9. Filamu bora ya mwaka

Na kipengele cha 10. ni Tuzo ya heshima, ambayo itatolewa kwa mtu aliyetoa mchango wake kwenye sanaa kwa muda wa mwaka mmoja uliopita.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364