-->

H-Baba Ajiita Baba wa Sanaa Tanzania

HBABA45

Staa wa muziki H-Baba ametoa kauli ya kuwabeza wasanii wenzake, akieleza kuwa kwa sasa yupo kimya akiangalia mchezo kama baba mwenye nyumba ambaye akirejea, wasanii wengine kama wapangaji lazima waelewe juu ya uwepo wake.

H-Baba ambaye majukumu ya kifamilia ambayo sasa ni makubwa si chanzo cha ukimya wake kwa mujibu wake, ameeleza kuwa nafasi yake ina maamuzi ya kuhamisha nafasi za wengine, na kila mtu ataelewa namna ambavyo ataufungua mwaka huu.

Chanzo: EATV

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364