-->

Daily Archives: December 29, 2015

JB Huwa Anatumia Jina Hili Kwenye Kazi za K...

Post Image

Erick ford, ni jina ninalo litumia kwenye filamu zangu za kitapeli, ni muendelezo wa filam za kitapeli ninazo zifanya mara kwa mara. Nilianza na Signature ikafuata Senior Bachelor halafu Mzee wa Swaga kote nilitumia Erick ford. Mwezi wa pili tutakuja na filamu ya namna hizo inaitwa…Kalambati Lobo, safari hii nimemshirikisha Diana kimaro. Jacob  Stephen ‘JB’ […]

Read More..

Amanda Atumika kwa Utapeli

Post Image

Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii. Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa […]

Read More..

Hiki Ndicho Kilichotoakea Kwenye House Part...

Post Image

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole aka shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake. Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo. Hizi ni baadhui ya picha za […]

Read More..

Nataka Niache Kula Monde-Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Juma Kassim Nature (Kiroboto) amefunguka na kusema ameachana na mambo mengi ya ajabu ajabu na starehe na kusema anataka kuachana na mambo hayo kwani uhuni ataki tena. Juma Nature akipiga stori katika kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema ameweza kuachana na mambo mengi ambayo kwa jamii yanaonekana […]

Read More..

Ujumbe wa Lulu Tunapoelekea Kuumaliza Mwaka...

Post Image

Mwaka huu ulikuwa mzuri au mbaya Kwa kila mmoja wetu….Katika MAZURI SHUKURU Na hata katika MABAYA Na ya KUUMIZA pia MSHUKURU MUNGU. Tunapoelekea Kumaliza mwaka hiyo tu ni sababu tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Una thamani mbele ya Mungu wako wala hutakiwi Kuwaza nani anakuona nini. Nimejifunza na Ninaamini Kuna Nguvu,Msamaha,Kuongezwa,Kuzidishwa,Kuponywa na Mengine mengi […]

Read More..

Mimi na Shamsa Ford Tuliachana Vizuri – N...

Post Image

Nay wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi na mastaa.   Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, rapa huyo alisema licha ya kuachana na mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida. “Mimi binafsi sijui alikuwa anamaanisha nini lakini kitu […]

Read More..