-->

Daily Archives: December 31, 2015

Hii Ndiyo Mipango Mipya ya Wema Sepetu

Post Image

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.   Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa. “Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” […]

Read More..

Zari: Tiffah Atakuja Kuwa Raisi Wenu

Post Image

Kufuatia tabia ya baadhi ya watu kuendelea kumporomoshea maneno machafu mototo wake Tiffah tangu hata hajazaliwa na hadi leo, Zari the boss Lady amewapasha watu hao kuwa Tiffah siku moja atakuaja kuwa rais na watamuheshimu kwani anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia. “Matusi from day one even before she was born. […]

Read More..

Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Wat...

Post Image

Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram. “Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta? Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako […]

Read More..

Shilole Ampigisha Dj Tass ‘Sorry For That...

Post Image

MWIGIZAJI na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemzingua Dj Tass mtangazaji wa kipindi cha Kwetu Fleva baada ya kushusha matusi hewani akihojiwa na mtangazaji huyo na kumfanya aombe msamaha kwa wasikilizaji kwa kutamka Sorry for That mara mia. Tass alikatiza matangazo baada ya Shilole kuulizwa swali kuhusu mpenzi wake Shilole ambaye ametangaza kutengena […]

Read More..

Baby Madaha Aanguka Chooni, Avunjika Mguu

Post Image

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na kuvunjika mguu wa kulia, Amani lina taarifa zote. Tukio hilo lilitokea nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar ambapo staa huyo alitoka kwenye matembezi yake usiku wa manane akiwa amepiga ‘mtungi’ wa kutosha. Inadaiwa kuwa, alipofika kwake alihitaji kwenda […]

Read More..

Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yaseme...

Post Image

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’. Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina […]

Read More..