-->

Daily Archives: March 19, 2016

Rapper Chidi Benz amedai kuwa anahitaji kus...

Post Image

Rapper Chidi Benz amedai kuwa anahitaji kusaidia kwakuwa hayuko sawa hata kidogo. Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa. Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila […]

Read More..

Diamond Afungukia Mimba Nyingine ya Zari

Post Image

STAA wa Bongo Fleva asiyechuja kwa takriban miaka 7 mfululizo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba nyingine malkia wake wa nguvu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Risasi Jumamosi linakuhabarisha. Diamond ambaye tayari amejaaliwa mtoto mmoja (Tiffah) na mrembo huyo raia wa Uganda, amefunguka jambo hilo hivi karibuni alipokuwa […]

Read More..

Lulu Atengwa Bongo Muvi?

Post Image

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ameendelea kuzua minong’ono kutokana na kitendo cha kutoshiriki kwenye mikusanyiko ya wasanii wenzake hadi kufikia hatua ya kutengwa. Hali hiyo ya sintofahamu ilijidhirisha Jumanne iliyopita kwenye hafla ya kumpongeza Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam iliyoandaliwa na wasanii wa Bongo Muvi chini ya uratibu wake, […]

Read More..

Idris: Penzi Langu na Wema Sepetu Lipo Pale...

Post Image

Idriss amefunguka yote hayo alipokuwa akishiriki kipindi cha ‘Friday Night Live’ kinachorushwa na EATV kila siku ya ijumaa. Akijibu swali la mtangazaji Sam Misago kuhusu mahusiano yake na Wema Sepetu kwa sasa kwamba inasemekana hawapo sawa Idris amesema ”Mimi na Wema Sepetu ni Mwaa bado tupo zizuri kabisa” Alipoulizwa kwamba ni kweli anampenda Wema au […]

Read More..

Johari, Baba Haji Wagandana

Post Image

Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Super Woman, Blandina Chagula ‘Johari’ na mwenzake, Adam Haji ‘Baba Haji’ wakiwa katika pozi baada ya kukutana usiku mnene kwenye Hoteli ya Rodizio iliyopo Masaki jijini Dar. Musa Mateja, Risasi jumamosi Dar es Salaam: Mh! Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Super Woman, Blandina Chagula ‘Johari’ na mwenzake, Adam Haji ‘Baba […]

Read More..

Richie : Hakuna Msanii Anayeweza Kuwa Namba...

Post Image

Mshindi wa tuzo ya AMVCA2016 amezungumza kwenye kipindi cha Jahazi kuwa kuna kipindi akishuka sana kisanii kutokana na mambo mbalimbali lakini pia akakiri kuwa msanii yoyote hawezi kuwa namba moja milele kwani kila msanii na wakati wake. “Ukweli ni kwamba mimi sikuwa Napenda kuigiza nilienda kwenye kundi letu la zamani la ‘Mambo Hayo’  kusaidia Raymond […]

Read More..