-->

Daily Archives: March 24, 2016

Prodyuza wa Going Bongo Kuchukua Wasanii Bo...

Post Image

WASANII wanaochipukia wametakiwa kujitokeza katika usahili wa filamu mpya ya mshindi wa tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki katika tuzo za Filamu za Kimataifa kwa nchi za Jahazi (ZIFF) kupitia filamu yake ya Going Bongo, Ernest Napoleon, utakaofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Usahili huo utakaoanza kwa wasanii wa kike wenye umri kati ya […]

Read More..

Snura: Sitaki Mtoto Mwingine wa Nje ya Ndoa

Post Image

LICHA ya kuwa na watoto wawili kwa baba tofauti, mkali wa kuimba na kunengua, Snura Mushi, amesema kwa sasa hataki apate mtoto mwingine hadi atakapoolewa. Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘Chura’ alisema wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi hawakuwa na msimamo na mwelekeo anaoutaka hivyo kwa sasa anataka mwanaume mwenye maadili, imani na upendo kwake, […]

Read More..

Profesa Jay Afunguka Kuhusu Chid Benz

Post Image

Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo Fleva, Rashid Abdallah Makwiro (31) ‘Chid Benz’ ni matokeo ya matumizi yaliyobebea ya madawa ya kulevya ‘unga’, Amani lina mchirizi wake. Hivi karibuni, Chid Benz aliripotiwa na baadhi ya mitandao ya kijamii akionekana na […]

Read More..

Niliamua Kukaa Kimya kwa Malengo- Lady Jayd...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva nchini Judith Wambura a.k.a Lady Jay dee amesema yeye kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wimbo siyo kwamba alifulia bali aliamua kutotoa wimbo kwa malengo. Jaydee ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na EATV kuhusiana na yeye kukaa muda mrefu kabla ya juzi kuachia ngoma mpya aliyoipa jina la ‘Ndi Ndi Ndi’ […]

Read More..

Ningemtaja Anayeniuzia Madawa ya Kulevya â€...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Madee amesema wao kama wasanii wamekuwa wakijitahidi kufanya harakati za kupambana na madawa ya kulevya, lakini serikali imekuwa haiwaungi mkono kwa kiasi kikubwa na kuwapelekea kukwama Madee ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Television, na kusema kuwa wao kama wasanii pekee hawana uwezo wa kupambana moja kwa moja, […]

Read More..