-->

Daily Archives: March 27, 2016

Vanessa Yuko Kipesa Zaidi na Sio Mapenzi!

Post Image

Msanii Vanessa Mdee amefunguka ya moyoni na kusema kuwa kwake pesa ndio kila kitu, na sio mapenzi ya kweli. Kwenye kipindi cha Friday Night Live ambacho kinarushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Vanessa ametoa jibu kuwa yeye anapenda pesa zaidi, kuliko mapenzi, na kuibua hisia kuwa huenda hata kwa mwandani wa ambaye […]

Read More..

Umaarufu Wamfanya Harmonize Aishi kwa Shida

Post Image

Harmonize ameongea hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa East Africa Radio, na kusema kuwa wao kama WCB hawana kawaida ya kwenda club kutokana na kubanwa na majukumu, na pia hata bosi wao ambao ni mfano mzuri kwao, hana kawaida ya kwenda sehemu kama hizo. “Labda nizungumze kitu kimoja, WCB sio mimi tu hata wasanii wengine […]

Read More..

Nimerudi Rasmi na Filamu ya Faulo- Wastara

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Wastara Juma ‘Stara’ amesema kuwa sasa amerudi kikazi kwa ujio wake wa filamu yake ya Faulo ambayo yeye ni mtayarishaji huku akiwa ni kinara wa filamu hiyo ambayo itakuwa filamu yake ya kwanza kutolewa na kampuni yake ya Wajey Film. “Nimejipanga kwa ajili ya kufanya kazi nzuri zenye mafunzo katika […]

Read More..

Tetesi ya Kwamba Ray C Amerudi Kwenye Matum...

Post Image

Matumizi ya Madawa ya kulevya hapa nchini yanaongezeka kwa kasi sana. Huku ikionekana wasanii ni moja kati ya waathirika wa kubwa wa janga hili. Tumeona hivi karibuni rapa mkongwe Chidi Benz jinsi alivyothorofika kutokana na matumizi ya Madawa ya kulevya. Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na tetesi kwamba Ray C amerudi katika matumizi ya madawa […]

Read More..

Mashabiki Wakerwa na Kauli Hii ya Zari, Wad...

Post Image

Labda ukweli unauma.. Kwamba wengi tunatamani sana maisha mazuri anayoishi Diamond na mchumba wake, Zari the Bosslady. Wapo wanaoishia kutamani na kumuomba Mungu nao waje kuwa na maisha hayo, wengine hushukuru na hufurahi tu kwa kile walichonacho ama tumeseme wameridhika na kidogo wanachopata. Lakini wapo ambao hushindwa kujizuia kupata wivu na kuwachukia tu watu wenye […]

Read More..

Wasanii Bongo Muvi Wachangia Damu Palestina

Post Image

Mkongwe wa filamu, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’akishiriki zoezi la kuchangia damu. Anayemuhudumia ni muuguzi wa Hospitali ya Palestina. Mzee Chilo na Bakari Makuka wakiwa tayari wanatolewa damu. Baadhi ya wasanii wa filamu wakisubiri kuchangia damu katika Hospitali ya Sinza Palestina. Msanii, Elizabeth Kilili akiandaliwa kutoa damu na muuguzi wa Hospitali ya Sinza. Mmoja wa wasanii […]

Read More..