-->

Daily Archives: April 16, 2016

Nina Mchango kwa Vanessa Mdee- Ommy Dimpoz

Post Image

Ommy amefunguka hayo katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na kituo cha EATV ambapo ameweka bayana kwamba kwa jinsi alivyomfahamu Vanesa Mdee ni mtu wa Kimataifa siku nyingi kwa maana alivyofanya naye huo wimbo alikuwa kwenye ‘media’ kubwa ila alikuwa hajapata pa kutokea tuu. ”Nilipomshirikisha kwenye wimbo wa ‘Me and You’ ikawa kama ni gari […]

Read More..

Mr.Blue: Nilipanga Kuoa Siku ya ‘Birthday...

Post Image

Staa wa bongo fleva Mr. Blue  ambaye amefunga ndoa hivi juzi na mkewe Wahyda ambapo hivi sasa wako visiwani Zanzibar kwenye fungate, ameeleza kuwa alipanga kufunga ndoa yake kwenye siku yake ya kuzaliwa. ‘’Haikuwa ghafla ila ghafla kwa wananchi ila kwangu mimi ni kitu ambacho nilikuwa nimepanga karibu mwezi nyuma nilipanga nioe siku ya ‘birthday’ […]

Read More..

Q Chiller Adondokea kwa Diamond Platnumz

Post Image

MKALI wa wimbo wa ‘Mkungu wa Ndizi’ aliyerudi kwa kasi katika muziki wa Bongo Fleva, Abubakari Shaaban maarufu Q Chiller, amesema kwa sasa anatamani kufanyakazi na Diamond Platnumz. Q Chiller alifafanua kwamba anatamani kufanya kazi na Diamond kwa kuwa wote wana uongozi unaojua kazi zao lakini anajipanga kwanza kwa kuandaa wimbo mzuri utakaowawezesha kurudisha fedha […]

Read More..

Mzee Zorro Alinifundisha Vitu Hivi Tangu Ut...

Post Image

Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva,Banana Zorro amesema kuwa ameamua kufanya kitu ambacho amekuwa akifundishwa tangu utotoni kupitia kwa mzee wake Zahir Ally Zorro ambaye pia ni mwanamuziki wa siku nyingi,amezungumza hayo kwenye kipindi cha Power Break Fast jana. “Kwangu mimi ilikuwa tofauti, niliamua kufanya kitu ambacho nimekuwa nikifundishwa tangu utotoni kupitia Mzee wangu, […]

Read More..

Rammy Gallis Achukia Kuitwa Kanumba Feki

Post Image

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kama ilivyo kawaida yetu ni kukupa wewe msomaji kitu roho inapenda kwa kuwa tunajua unapenda kujua maisha halisi ya mastaa wetu wa hapa Bongo. Leo aliyetupendezeshea ukurasa wetu ni muigizaji anayefananishwa na marehemu Steven Kanumba, Rammy Gallis anayeishi maeneo ya Chang’ombe jijini Dar. Ili kujua maisha yake halisi, twende pamoja […]

Read More..

Lulu Afunguka, Mama Kanumba Ajibu

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kulinogesha bifu lake na mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegeo kufuatia posti yake ya hivi karibuni akiashiria kumtisha mama huyo. Lulu juzikati alitupia ujumbe mtandaoni akimjibu mmoja wa mashabiki wake aliyeuliza sababu ya yeye na mama Kanumba kutoiva ambapo aliandika: “…ni […]

Read More..

Odama Kuanza Mwaka na Filamu ya Mkwe

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Jeniffer Kyaka maarufu kama Odama anakuja na movie yake mpya ya ‘Mkwe’. Odama ni miongoni kati ya wasanii wenye vipaji vya kuigiza kwenye kiwanda cha Bongo Movie. Mpaka sasa amefanikiwa kufungua kampuni yake ya production (J Film For Life) ambayo tayari ameshafanikiwa kupata deals kadhaa. Tarehe 25 ya mwezi huu wa […]

Read More..