-->

Daily Archives: April 19, 2016

Aunt Afungukia Kuachana na Moses Iyobo

Post Image

KUFUTAIA kuwepo kwa taarifa kuwa Mwigizaji Aunt Ezekiel amempiga chini mpenzi wake Moses Iyobo, mrembo huyo ameibuka na kusema taarifa hizo hazina ukweli. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema madai hayo ya kuachana na mpenzi wake huyo yanatengenezwa na watu wake wa karibu hivyo akijiridhisha, atawatumbua. “Wanaowaza kuwa mimi na Mose tunatarajia kugombana leo au […]

Read More..

Sikumjua Nay mtu wa aina gani – Shamsa Ford

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa moja ya sababu yeye kuachana na mpenzi wake Nay wa Mitego ni kutokana na ukweli kwamba yeye hakutambua toka mwanzo kuwa msanii huyo ni mtu wa namna gani.   Akizungumza kwenye kipindi cha Enews Shamsa Ford anasema wakati anaanza kutoka na Nay wa Mitego hakutambua […]

Read More..

Binti Miaka 19 Awa Gumzo Kazi ya Mochwari

Post Image

Sabrina Gharib, binti mwenye miaka 19 anayefanya kazi kwa vitendo kimasomo  kwenye Mochwari  ya Hospitali ya Rufaa ya Tumbi Kibaha mkoani Pwani, amekuwa gumzo kwa watu wanaokwenda kuchukua miili ya wapendwa wao hospitalini hapo, Uwazi limeibuka naye. “Tulipokwenda kuchukua mwili wa mpendwa wetu Tumbi, tulisikia watu wakimzungumzia msichana mdogo anayehudumia maiti. Kwanza sikuamini lakini nilimuona […]

Read More..

Harmonize Afungukia Maumivu ya Mahusiano, A...

Post Image

Msanii wa bongo flava Harmonize anayetamba na wimbo “Bado’ ameshangazwa na namna ambavyo Msanii Diamond Platnumz anavyoweza kuhimili maumivu ya kimapenzi. Akizungumza katika kipindi  enewz cha EATV amesema kuwa suala la mapenzi linaendana kabisa na maisha ya mtu mwenyewe na yeye hana uwezo wa kuhimili maumivu ya kimapenzi. “Diamond sijui ana uwezo gani wa kuhimili […]

Read More..

Aunt Ajinasua kwa JPM

Post Image

Hatimaye staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amefanya kila liwezekanalo na kujinasua mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli ‘JPM’ kwa kukomboa gari lake aina ya Audi lililokuwa limeshikiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushindwa kulipa kodi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa mbwembwe kibao wikiendi iliyopita, Aunt […]

Read More..

Rais Magufuli Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Jij...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dk. John Magufuli ametangaza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam,Wilson Kabwe. Hatua ya kumfuta kazi Mkurugenzi huyo imefuata baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kumwambia Rais Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Uzinduzi wa Daraja la Kigamboni, kuwa Mkurugenzi wa […]

Read More..

Kajala Ashtukia Uwekezaji

Post Image

KAJALA Masanja amewasihi mastaa wenzake wajifunze kuwekeza hela wanazopata kwa kuwa kuna kipindi kitafika ustaa utaisha na kutakuwa hakuna kitu kingine cha kuwaingizia kipato. Kajala ambaye analitendea haki soko la filamu Bongo, alisema kila mtu atumie wakati wake sasa,” alisema Kajala. amepata wazo hilo hivyo ameona ni vyema akawatonya na wenzake maana amewaona watu wengi […]

Read More..