-->

Daily Archives: April 27, 2016

Kitazame Kipindi cha SCARS Ndani ya StarSwa...

Post Image

Maisha ya binadamu ni safari ndefu  tunayoweza kufananisha na barabara yenye milima na mabonde na vikwazo vingi sana. Vikiwazo na matatizo hayo hupelekea kutoa uhai kama si kuhatarisha maisha . Haya yote utayakuta ndani ya StarSwahili.Ni  matukio ya kweli  na Halisi yatakayo gusa hisia zako na kukufunza.Kujua zaidi. Angalia Trailer hapa https://www.facebook.com/TZStarTimes/ https://www.instagram.com/startimestz/

Read More..

Nay wa Mitego Afunguka Kuhusu Siwema, Mzazi...

Post Image

Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumzia nini kinaendelea baada ya kutangaza kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye mtandao wa kijamii. Nay na Siwema walifanikiwa kukaa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kupata mtoto ambaye walimpa jina la Curtis kabla hawajatengana. Akizungumza na […]

Read More..

Hawawezi Kunikatisha Tamaa- Tico

Post Image

MTAYARISHAJI na muongozaji wa filamu kimataifa Timoth Conrad ‘Tico’ anasema hajakatishwa tamaa na atatangaza nchi kwa kufanya kazi zake kiweledi na kujivua Tanzania kwani anaipenda nchi yake na kupitia filamu amekuwa balozi mzuri kupeperusha bendera. “Hapa nyumbani kuna watu hawajui mchango wa mtu mwingine na hasa sisi ambao hatuonekani katika runinga lakini kitu kingine ni […]

Read More..

Dotto Kufanyiwa Movie Premiere Leo, Escape ...

Post Image

FILAMU ya Dotto ya mwanadada Irene Paul leo siku ya jumatano ya tarehe 27.April .2016 inatarajiwa kufanyiwa Premiere katika event iliyopewa jina la Bongo Movie Premiere katika ukumbi wa Escape one uliopo Mikocheni B . Usiku wa leo unaletwa na kampuni ya Steps Entertainment kwa kushirikiana na Escape one itashirikisha wasanii nyota kibao kutoka Swahilihood […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Jinsi Alikiba Alivyom...

Post Image

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza. Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa. Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo […]

Read More..

Dayna Nyange Afungukia Penzi la Prezzo

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange amefunguka kuhusiana na tetesi kuwa waliwahi kutoka kimapenzi na Rapper kutoka nchini Kenya Prezzo na kwamba Prezzo alivunja mahusiano na mpenzi aliye kuwa naye. Akizungumza na Enewz Dayna amesema kuwa alikutana na Prezo kabla ya yeye kuwa star mkoani Morogoro katika show ambayo yeye alimfata A.Y kwaajili ya project […]

Read More..