-->

Daily Archives: November 1, 2016

Kuna watu wamekuja kuuharibu muziki wetu â€...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, Matonya amewataka wadau mbalimbali wa muziki kuwa makini na watu ambao wamekuja kuuharibu muziki wa bongofleva. Muimbaji huyo ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Vaileti’ na nyingine nyingi, ameiambia Bongo5 kuwa kuna vijana wameingia kwenye muziki bila kuwa navipaji. “Mimi napenda kuwapongeza wasanii wote wazuri ambao wanafanya vizuri lakini kuna watu […]

Read More..

Faraja Nyalandu Amkingia Kifua Miss Tanzani...

Post Image

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Nyalandu amemkingia kifua mshindi wa mwaka huu Diana Edward akisema hata yeye aliposhinda alizushiwa mambo mengi, lakini anashukuru kwa kuwa yalimjenga. Katika waraka wake wenye maneno 223 aliouweka kwenye mtandao wa Instagram, mrembo huyo alisema alikaribishwa katika dunia ya umaarufu kwa kashfa lakini kwa msaada wazazi wake alifanikiwa kusimamia malengo […]

Read More..

Hamisa Mobetto Afungukia Bifu Lake na Zari

Post Image

Hamisa Mobetto amefunguka juu ya mahusiano yake na first lady wa Madale, Zari The Bosslady baada ya tetesi za kutoka na Diamond. Mrembo huyo amemuambia mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Omary Tambwe aka Lil Ommy kuwa hajawahi kuwa na urafiki na Zari na wala hawana uadui wowote. “Unajua huwezi kusema kuwa […]

Read More..

Abby Skills Awashukuru Alikiba na Mr. Blue

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya kupotea kwa miaka minne mfulilizo. Abby ameyasema hayo alipokuwa katika kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV ambapo pia alitambulisha ngoma yake mpya na video yake inayokwenda kwa jina la […]

Read More..