-->

Daily Archives: November 4, 2016

Mpenzi Mpya wa Wema Afungukia Alichokipata ...

Post Image

Model Calisah ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Wema Sepetu amesema hajawahi kutukanwa kama alivyotukanwa na watu katika mitandaoya kijamii baada ya kudai kuwa hamjui aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. Calisah wiki tatu zilizopita alidai hamjui Idris Sultan kwa kuwa sio mtu wa kufuatilia maisha ya watu […]

Read More..

Bodi ya Filamu:Hakuna Wezi wa Kazi za Sanaa

Post Image

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso amesema hana taarifa na wizi wa kazi za wasanii na kuwasihi wasanii kufikisha malalamiko yao ofisini kwake ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Akiongea ndani ya eNewz Bi.Fisso amesema kama kuna wasambazaji wanaohusika na wizi wa kazi za wasani au mtu yeyote ni bora kuacha mara […]

Read More..

Steve RnB Atoa Dongo kwa Nuruelly na Rama D

Post Image

Msanii wa RnB nchini Steve RnB amesema hawezi kufanya muziki wa kisingeli na siku akifanya atachekesha hata Nuruelly na Rama D wamekosa washauri sahihi mpaka kuamua kufanya aina hiyo ya muziki. Akipiga story ndani ya eNewz, amesema hadhani kama ni kitu sahihi kutoka katika muziki wa RnB na kuimba Singeli labda kama waliofanya hivyo walifanya […]

Read More..

Tuzo Zimeleta Faraja Kwenye Filamu – Gabo

Post Image

Msanii wa filamu ambaye kwa sasa ndiye ‘hot cake’ kwenye tasnia, Gabo Zigamba, amesema wasanii wa filamu wamepata kwa faraja kuanzishwa kwa EATV AWARDS. Akizungumza na EATV Gabo amesema kwanza ni changamoto kubwa kwao kwani itatengeneza ushindani, ukizingatia kwa upande wa filamu kwa muda mrefu kumekuwa hakuna kitu cha kuwafariji  na kutambua mchango wa wasanii wa […]

Read More..