-->

Daily Archives: November 6, 2016

Msanii Bora 2016 Kwangu ni Dogo Janja- Nick...

Post Image

Rapa Niki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema kuwa kwa mtazamo wake kwa mwaka 2016 msanii bora kwake ni Dogo Janjakwani msanii huyo ameweza kufaulu kwa kiwango cha juu mtihani ambao unawashinda wasanii, wasomi, wafanyabiashara wengi duniani. Niki wa Pili anasema Dogo Janja aliwahi kuteleza na kuanguka lakini ameweza kufanikiwa kuinuka […]

Read More..

Lord Eyes Amuombea Chid Benzi

Post Image

Rapa Lord Eyes kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kumtaka msanii Chid Benzi kutopagawa kwani yeye bado ni msanii mkali sana mwenye uwezo wa hali ya juu hivyo anazidi kumuombe kwa Mungu ili aweze kutoka katika mambo ambayo yanamchanganya pia amemkumbusha kuwa anapaswa kumuomba Mungu kwani kila jambo linawezekana. Lord Eyes alisema hayo kupitia […]

Read More..