-->

Daily Archives: November 10, 2016

Martin Kadinda: Diamond Hakukosea Mavazi Kw...

Post Image

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amefunguka kwa kusema kuwa Diamond hakukosea kuvaa mavazi aliyovaa kwenye video yake ya wimbo ‘Salome’ baada ya watu katika mitandao ya kijamii kudai mavazi hayo hayakuendana na uhalisia ya video hiyo. Mbunifu huyo ambaye pia amekuwa akimvalisha msanii huyo, amesema hakuona tatizo kwa Diamond kutumia mavazi yale kwa kuwa […]

Read More..

MTV EMA Wampokonya Tuzo Wizkid na Kumpa Ali...

Post Image

IKIWA ni siku chache baada ya waandaaji wa Tuzo za MTV EMA 2016 kutoa tuzo hizo na kumtangaza msanii wa Nigeria Wizkid kuwa ndiye mshindi wa Best African Act na Worldwide Act ambapo katika kipengele hicho alikuwa akichuana na msanii wa Tanzania, Ali Kiba. Waandaaji hao wamempokonya Wizkid tuzo hiyo kwa madai kuwa hakustahili na […]

Read More..

Picha:Mwili wa Samuel Sitta Ulivyopokelewa ...

Post Image

Mwili  wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta umewasili jioni hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ukitokea nchini  Ujerumani ambako alikuwa akitibiwa hadi mauti yalipomfika. Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege, mwili wa Marehemu Sitta utapelekwa nyumbani kwake Msasani, Dar […]

Read More..

Alikiba,Jide,Joh Makini,Shetta Wapambana Ku...

Post Image

East Africa Television LTD imeendelea kutaja ‘nominees’ wa vipengele vingine viwili watakaowania EATV AWARDS. Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, EATV LTD ikishirikana na Vodacom Tanzania na CocaCola imetaja vipengele viwili vya kundi bora la mwaka, na video bora ya mwaka, ambapo wasanii kutoka nchi 3 za Afrika Mashariki, wamefanikiwa kupenya. Wasanii hao tukianzia […]

Read More..

Eshe Buheti: Mabadiliko Hayakwepeki

Post Image

Anatambulika kwa jina lake halisi la Eshe Buheti. Ni miongoni mwa waigizaji waliotumia majina yao vyema katika tasnia ya filamu nchini. Buheti alifanya mahojiano na gazeti hili kuhusu masual mbalimbali ikiwamo mtuzamo wake katika tasnia ya filamu, unio wa tamthilia, anavyowazungumzia wakongwe na mabadiliko katika filamu. Mtazamo wake Anasema mtizamo wake ni kujipanga na kuja […]

Read More..