-->

Daily Archives: November 14, 2016

Baada ya Video ya Kudendeka Kuvuja, Mashabi...

Post Image

Kufuatia kuvuja kwa video inayomuonesha Wema Sepetu akiliwa mate na model Calisah, anayedaiwa kuwa ni boyfriend wake sasa mashabiki mtandaoni wamemshanulia staa huyo. Kwenye moja ya post, Calisah ameandika ‘Hope U knw the truth (God).” Wema ambaye ameonesha kuchukizwa na kuvuja kwa video hiyo alicomment kwenye post hiyo kwa kuandika “Bullshit. F*ck You!” Inaonekana kuwa […]

Read More..

Wema Anaangushwa na Marafiki Zake – Kadinda

Post Image

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao. Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi […]

Read More..

Keisha Apata Mtoto wa Tatu, Ahitimu Chuo Ki...

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Keisha, amepata mtoto wa tatu. Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo amehitimu pia chuo kikuu. Keisha ameshare furaha hiyo kupitia Instagram: Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah […]

Read More..

Hakeem 5 Agoma Kumuomba Alikiba Msamaha

Post Image

Msanii wa bongo fleva Hakeem 5 amesema hawezi kumuomba Ali Kiba msamaha kwa kuwa hajafanya kosa lolote na alichoongea kuwa Ali Kiba anaroho mbaya aliongea ukweli. Akiongea ndani ya eNewz amesema anaweza kuishi akiwa anafanya muziki na hata  asipofanya hivyo anaweza akaishi hivyo hawezi kwenda kumuomba Kiba msamaha kwa kuwa yeye hakutaka kufanya kolabo na Kiba […]

Read More..