-->

Daily Archives: November 18, 2016

Mama Diamond Adai Nyumba ya Diamond ya Mada...

Post Image

Mama mzazi wa msanii diamond Platnumz amefunguka na kudai kuwa nyuma ya diamond aliyojenga madeli jijini dar es salaam ni yake na sio ya diamond. Hii nikutokana na ahadi alioiweka diamond mwenyewe kipindi ameanza kuijenga. Zaidi msikie hapa  

Read More..

Ommy Dimpoz Awamwagia Sifa BASATA

Post Image

Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz amelisifia Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kuwafanyia kazi wasanii ambao wanajishughulisha na kuimba mambo yasiyofaa pamoja na matusi katika nyimbo zao. Akipiga story ndani ya eNewz amesema analipongeza baraza hilo kwa kuwachukulia sheria wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye matusi na ambazo hazina maadili na kutengeneza maneno na mijadala isiyo […]

Read More..

Dito Awafagilia Mastaa Waliooa, Afunguka Ku...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Dito amesema amekaa na mwanamke wake kwa miaka mitano na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume lakini bado hawajafanikiwa kufunga ndoa. Akiongea ndani ya eNewz Dito amewapongeza wasanii waliofunga ndoa na kusema wamefanya vizuri kutengeneza familia ambazo baadaye zitawasaidiaa kwa kuendeleza vipaji kupitia watoto wao au kuwa wasimamizi wa muziki wanaoufanya na […]

Read More..

Gabo Auzungumzia Umuhimu wa Tuzo za EATV Aw...

Post Image

Msanii wa filamu anayefanya vizuri na filamu ‘Safari ya Gwalu’ Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema tuzo ni kitu muhimu kwa wasanii kwa kuwa ni kipimo ambacho kinapima mafanikio ya msanii husika. Muigizaji huyo ambaye anawania tuzo ya muigizaji bora wa kiume katika tuzo za EATV Award, amesema hatua ya kuongezeka kwa tuzo nchini kunasaidia kukuza sanaa. […]

Read More..

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadi...

Post Image

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao. “Mimi nasema tutengeneze […]

Read More..