-->

Daily Archives: November 21, 2016

Chemical Awajibu Wasioamini kuwa Yeye ni Bi...

Post Image

Rapper wa kike mwenye swaga za hatari Chemical amesema anashangazwa kwa kitendo cha baadhi ya watu wanaompinga kuwa hajawahi kufanya mapenzi. Hitmaker huyo wa ‘Am Sorry Mama’ amekiambia kipindi cha Kubamba cha Times FM, kuwa aliwahi kuwa na mpenzi lakini waliachana kwa kuwa alikuwa na haraka ya kufanya mapenzi. “Sijawahi kufanya mapenzi hata siku moja. […]

Read More..

Meneja Maneno Naye Atafuta Meneja wa Kumsim...

Post Image

Msimamizi wa siku nyingi wa wasanii wa Muziki Tanzania Meneja Maneno amesema anatafuta mtu wa kufanya naye kazi kama meneja wake kwa sasa. Amesema anatafuta meneja kwa kuwa mbali na kwamba bado yuko kwenye kitengo cha umeneja katika ofisi yake na bado anasimamia baadhi ya wasanii kama vile Nay wa Mitego, kwa sasa na yeye […]

Read More..

Marlaw Apata Mtoto wa Tatu

Post Image

MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Lawrence Malima ‘Marlaw’ amepata mtoto wa tatu kutoka kwa mkewe ambaye pia ni msanii, Besta Rugeiyamu ‘Besta’. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na wasanii hao ambacho hakikupenda jina lake lichorwe gazetini, Besta alijifungua tangu Novemba 10, mwaka huu mtoto wa kike. “Kwa sasa wapo na furaha kwa kupata […]

Read More..

Naolewa Kweli, Siigizi Miye – Koleta

Post Image

Baada kuibuka maswali mengi kuhusu picha ambazo zilikuwa zikirushwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuvalishwa kwa Pete ya uchumba kwa msanii mahiri wa Filamu na tamthilia Bongo Coletha Raymond ‘Koleta’ si Filamu ni kweli akiongea na FC msanii huyo huku akicheka alisema kufuatia picha hizo watu wanaompigia simu wameongezeka wakitaka kujua kama ni yeye. “Wasanii […]

Read More..

Pichaz: Je Ni Kweli Lady Jaydee Amefunga Nd...

Post Image

Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa ni mkubwa. Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa […]

Read More..

Wasanii Wanatubania Kwenye Pesa- Jengua

Post Image

MOHAMMED Fungafunga ‘Jengua’ amefunguka kuhusu wasanii wakongwe kutengwa na wasanii vijana katika masuala yanahusu fedha katika mialiko mbalimbali hasa ile yenye pesa kwa kualikana wao kwa wao japo katika mialiko hiyo wahusika huwahitaji wao na wasanii hao ujibu kuwa wao wapo bize. “Tabia za baadhi ya wasanii hawa vijana zinatukera sana sisi wasanii wazee au […]

Read More..