-->

Daily Archives: November 23, 2016

Ushuru Wamkwamisha Baby Madaha Kuingiza Nch...

Post Image

Ushuru mkubwa unaotozwa katika bandari ya Dar es Salaam, umemzuia Baby Madaha kuingiza vifaa vyake vya filamu alivyovinunua mwaka jana mjini Dubai. Muimbaji na muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa serikali ya awamu ya tano imeongeza ushuru kiasi cha kuharibu mipango ya watu wengi. Amedai kuwa vifaa hivyo bado vipo Dubai alikohamishia makazi yake. “Nilileta baadhi […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Achana na Mimi Wewe Wema Sepe...

Post Image

MASTAA wawili waliokuwa mashosti siku za nyuma, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wameingia kwenye msuguano tena hivi karibuni huku hali ikionesha kuwa mastaa hao kwa sasa ndiyo basi tena. Hali hiyo imetokea juzi baada ya Aunty kuweka picha ya kumtakia siku njema ya kuzaliwa rafiki na msanii mwenzake, Maimartha Jesse kwa kuandika, “Happy bday […]

Read More..

Bongo fleva Haitapoteza Muziki wa Dansi ...

Post Image

Msanii wa dansi nchini Tanzania Nyoshi amesema muziki wa bongo fleva haujaua soko la muziki wa dance nchini ila kwa sasa kuna baadhi ya wadau wa radio na televisheni wameamua kusapoti muziki wa bongo fleva zaidi. Akiongea ndani ya eNewz Nyoshi amesema bendi nyingi zinatoa nyimbo kwa wakati lakini ukipeleka nyimbo kwenye televisheni na radio hazipigwi […]

Read More..