-->

Daily Archives: November 24, 2016

Namchukia Mwanaume Aliyenipa Mimba – ...

Post Image

Msanii wa bongo movie Nisha Bebe amesema ujauzito wake unampa hisia tofauti na mawazo mpaka anafikia hatua ya kupost mambo tofauti tofauti kwenye mitandao yake kwa kuwa hampendi mwanaume aliyempa ujauzito huo. Akiongea ndani ya eNewz Nisha amesema amevumilia miezi mitano bila mtu kujua kitu chochote juu ya mimba yake lakini kwa sasa ameshindwa kuvumilia na […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kisa cha Kukosana na D...

Post Image

Katika interview ndefu aliyofanyiwa Alhamis hii kwenye kipindi cha XXL kupitia Clouds FM, Ommy Dimpoz amefunguka kwa kina visa na mkasa vilivyopelekea akosane na swahiba wake wa zamani, Diamond Platnumz.   Ommy amelazimika kusimulia hayo baada ya Jumatano kupitia kipindi hicho hicho, Diamond kuelezea uhusiano wao na jitihada ambazo Ommy amewahi kuzifanya ili kuomba wayamalize. […]

Read More..

Wasanii Hatupendani: Aisha Bui

Post Image

Msanii wa bongo movie nchini Aisha Bui amefunguka na kusema kuwa bongo movie haitaweza kuendelea kama wasanii wenyewe hawatapendana na kushirikiana wenyewe. Akiongea na eNewz, amesema kuwa kama wasanii hawatakuwa na upendo wowote basi hata kazi zao za sanaa bado hazitaweza kufanikiwa. “Wasanii tuwe na upendo na tuwe na ushirikiano, sisi wenyewe tuwe na upendo […]

Read More..