-->

Ali Kiba Asaini Mkataba na Sony Music, South Africa

Staa wa Bongo Fleva, Ali kiba amesaini mkataba leo na kampuni ya Sony Music jijini Johannesburg,South Africa, moja ya vitu vilivyomo kwenye mkataba huu ni kampuni hii kubwa ya muziki duniani kusimamia pia video zake na audio kwa kuzilipia na kuzifikisha kwenye masoko makubwa ya muziki duniani.

KIBA32

Ali Kiba ameungana na mastaa wengine duniani waliosign Sony Music kama Davido (Nigeria) , Chris Brown ( Marekani) ,John Legend na wengineo.

Baada ya kusaini mkataba na #SonyMUSIC leo, sasa kazi zake zitasimamiwa na #SonyMusic duniani kote ambao watasimamia kazi zake kwa kiwango cha kimataifa, hiyo ni moja ya vitu watafanya.

Alikiba

cloudsfm

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364