-->

Ben Selongo Aikacha Bongo Movie?

Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, Ben Branco Selengo amefunguka na kusema sasa ameamua kuimba muziki wa singeli huku akiwataka wakali wa singeli kujipanga kwani amekuja kuchukua pesa zilizopo kwenye muziki wa singeli.

Ben anasema kwenye filamu hakuna msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake hivyo ameamua kwenda kwenye muziki kutafuta mkwanja huku akidai kuwa ataendelea kufanya filamu kama kawaida yake.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364